Inategemea ni wa chama gani!
Vyama vinatofautiana ktk staili ya ushawishi, mfano:
1. kusafirisha wasikilizaji kwenye kampeni.
2. kutoa rushwa kwa wasikilizaji wa kampeni.
3. Kuonga wasanii ili wasikilizaji waje kwa wingi.
4. kuwa na wapambe kibao wa kuporomosha matusi kabla ya mgombea kunadi sera.
5. nk.