M mao huu Member Joined Oct 13, 2012 Posts 6 Reaction score 0 Jan 29, 2014 #1 samahani wakuu,mahandaki yaliyopo kilimanjaro yalijengwa na watu gani na ni lini?
Frank Wanjiru JF-Expert Member Joined Apr 12, 2012 Posts 24,717 Reaction score 44,115 Jan 29, 2014 #2 mao huu said: samahani wakuu,mahandaki yaliyopo kilimanjaro yalijengwa na watu gani na ni lini? Click to expand... Fafanua vizuri,Kilimanjaro Mkoa,Bia,Maji,Bar,Timu ya Mpira,Mbuga ya Wanyama/Hifadhi au?
mao huu said: samahani wakuu,mahandaki yaliyopo kilimanjaro yalijengwa na watu gani na ni lini? Click to expand... Fafanua vizuri,Kilimanjaro Mkoa,Bia,Maji,Bar,Timu ya Mpira,Mbuga ya Wanyama/Hifadhi au?
M mao huu Member Joined Oct 13, 2012 Posts 6 Reaction score 0 Jan 29, 2014 Thread starter #3 kilimanjaro mkoa,maeneo ya marangu na kilema
S Sungura Toto Senior Member Joined Mar 7, 2013 Posts 198 Reaction score 43 Jan 30, 2014 #4 mao huu said: kilimanjaro mkoa,maeneo ya marangu na kilema Click to expand... Nenda kwa mangi marriale atakupa jibu swaaafi mkuu!!
mao huu said: kilimanjaro mkoa,maeneo ya marangu na kilema Click to expand... Nenda kwa mangi marriale atakupa jibu swaaafi mkuu!!
Hoshea JF-Expert Member Joined Jan 24, 2012 Posts 5,420 Reaction score 3,776 Jan 30, 2014 #5 Yalijengwa na wachaga
pitbull JF-Expert Member Joined Sep 22, 2011 Posts 596 Reaction score 186 Jan 30, 2014 #6 Yalijengwa na,watu wa maeneo hayo kipindi cha vita kama maeneo ya kijificha....
ofisa JF-Expert Member Joined May 15, 2011 Posts 4,362 Reaction score 4,101 Jan 30, 2014 #7 Hv huwezi hata ukiza hao wakazi wa karibu wakuambie kwamba ndani ya miaka yao (1890-1922) ya mjeruman aliweka reli imara ,mahandaki ya mapumziko,kivita.barabara za miliman za kwenye miamba migumu-lushoto na neno lako hili SHULE.
Hv huwezi hata ukiza hao wakazi wa karibu wakuambie kwamba ndani ya miaka yao (1890-1922) ya mjeruman aliweka reli imara ,mahandaki ya mapumziko,kivita.barabara za miliman za kwenye miamba migumu-lushoto na neno lako hili SHULE.