Swali: Kwanini wanaume tunajitoa sana?

Maisha hayako hivyo usihonge/kumsaidia mpenzi kitu flan et kisa kuna ndg na jamaa wanashida,, moyo unahitaji furaha na amani, mtu akimnunulia mpemz wke zawad km gari etc na akawa na furaha yy moyo kwaaatuu!!
 
Sasa kutokuhonga ndio inamaanisha mtu hakupendi?
Unajua kuna watu wanatoa hela au vitu vingine kwa mapenzi tu sema wengine wakiona wasema anahonga

Na kuhonga pia haimanishi kama mtu hakupendi
 
Wewe km huwezi acha, kila mtu anamipango yke kwenye maisha ykeee pambana na hal yko acha kutingisha za wenzio, nitafute pesa mwenyew alfu unipangie matumizi
 
Wewe km huwezi acha, kila mtu anamipango yke kwenye maisha ykeee pambana na hal yko acha kutingisha za wenzio, nitafute pesa mwenyew alfu unipangie matumizi
Hahaa jovitha, kila la kheri katika matumizi yako.

Ila swali, ushawahi honga mwanaume?
 
Huwa kuna kapepo kidogo pale aiseeh huwa kanatoka baada ya kupigwa chini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…