Ni cifa zipi za mwanafunz kuchaguliwa chuo kiku kwan mwanafunzi mwenye dv1.8 dv1.9 au dv2.10 hawajachaguliwa hivyo hawana sifa je ni cifa gani zinatakiwa??
Alokwambia nani kama hawachaguliwi. Tatizo mtu ni kuingia katika course zenye competition kubwa lazima utemwe maana kuna wenzio wana 1.3 kama wewe una 1.8.
TCU wame cema kuna watu awana cifa ambao awajachaguliwa
Kna watu wana 2.10 wamechaguliwa lkn kna watu hata wenye 1.8 awajachaguliwa kwakukosa cifa . Wamecema amabao awajachaguliwa hawana cifa