Yai la kuku wa kienyeji ni reference nzuri sana kujijibu we mwenyewe, ni 1 ila lina muunganiko wa Ganda, nyama nyeupe na kiini, Je kifaranga kinapokuwa kinatotolewa na ganda la nnje kuvunjika huwa hakiko hai au bado huendelea kuwa hai? Je Yesu alipokuwa amekufa Yehova na Roho Mtakatifu walikuwa wamekufa? Kajifunze tena vizuri somo la utatu mtakatifu uelewe kwanza.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.