K Kiumbe duni Senior Member Joined Dec 3, 2011 Posts 100 Reaction score 8 Jan 25, 2012 #1 Suzuki vitara milango 5 manual, rangi nyeusi metaliki na ipo kwenye hali nzuri inatembea. inauzwa bei poa Tsh 7800,000/: ipo maeneo ya kawe dsm. kwa maelezo zaidi piga 0713664326
Suzuki vitara milango 5 manual, rangi nyeusi metaliki na ipo kwenye hali nzuri inatembea. inauzwa bei poa Tsh 7800,000/: ipo maeneo ya kawe dsm. kwa maelezo zaidi piga 0713664326
Kitope JF-Expert Member Joined Oct 12, 2011 Posts 236 Reaction score 58 Jan 25, 2012 #2 mwaka gani? imetembea km ngapi? ungeweka angalau kapicha ili wenye kukurupuka wasije kuingia kingi bila kufalishwa kofia
mwaka gani? imetembea km ngapi? ungeweka angalau kapicha ili wenye kukurupuka wasije kuingia kingi bila kufalishwa kofia
E Esther Kimario Member Joined Nov 17, 2011 Posts 62 Reaction score 13 Feb 9, 2012 #3 Gari bado ipo tufanye biashara?
Amoeba JF-Expert Member Joined Aug 20, 2009 Posts 3,288 Reaction score 793 Feb 9, 2012 #4 Esther Kimario said: Gari bado ipo tufanye biashara? Click to expand... CRV unaiogopa kama ukoma? kamata kitu vitara mama, iwe katika hali nzuri lakn-usinunue tu mradi vitara, utalia!
Esther Kimario said: Gari bado ipo tufanye biashara? Click to expand... CRV unaiogopa kama ukoma? kamata kitu vitara mama, iwe katika hali nzuri lakn-usinunue tu mradi vitara, utalia!
E Esther Kimario Member Joined Nov 17, 2011 Posts 62 Reaction score 13 Feb 9, 2012 #5 Amoeba said: CRV unaiogopa kama ukoma? kamata kitu vitara mama, iwe katika hali nzuri lakn-usinunue tu mradi vitara, utalia! Click to expand... Ndio uzuri wa JF! baada ya kupewa somo nikatoroka moja kwa moja! ha ha ha!
Amoeba said: CRV unaiogopa kama ukoma? kamata kitu vitara mama, iwe katika hali nzuri lakn-usinunue tu mradi vitara, utalia! Click to expand... Ndio uzuri wa JF! baada ya kupewa somo nikatoroka moja kwa moja! ha ha ha!
K Kiumbe duni Senior Member Joined Dec 3, 2011 Posts 100 Reaction score 8 Feb 9, 2012 Thread starter #6 Esther Kimario said: Gari bado ipo tufanye biashara? Click to expand... Bado ipo wewe nitafute kwenye hiyo namba uje kuiona hata kama una mtaalam wako wa kuikagua njoo nae.
Esther Kimario said: Gari bado ipo tufanye biashara? Click to expand... Bado ipo wewe nitafute kwenye hiyo namba uje kuiona hata kama una mtaalam wako wa kuikagua njoo nae.