K Kibayabaya Member Joined Jun 28, 2017 Posts 13 Reaction score 8 Jul 14, 2017 #1 Mwenye kujua hizo gari ,natafuta namba B Nina Mil.7
skfull JF-Expert Member Joined Dec 24, 2013 Posts 2,944 Reaction score 2,385 Jul 14, 2017 #2 Picha mkuu Sent from my TECNO-W3LTE using JamiiForums mobile app
K Kibayabaya Member Joined Jun 28, 2017 Posts 13 Reaction score 8 Jul 15, 2017 Thread starter #3 Msaada tafadhali
malimingiii JF-Expert Member Joined Nov 20, 2013 Posts 968 Reaction score 1,343 Jul 15, 2017 #4 skfull said: Picha mkuu Sent from my TECNO-W3LTE using JamiiForums mobile app Click to expand... Mkuu huyu jamaa anatafuta na sio kuuza. Sasa picha atapata wapi?
skfull said: Picha mkuu Sent from my TECNO-W3LTE using JamiiForums mobile app Click to expand... Mkuu huyu jamaa anatafuta na sio kuuza. Sasa picha atapata wapi?
Annny Senior Member Joined Jul 9, 2017 Posts 150 Reaction score 167 Jul 15, 2017 #5 Umeipendea nini hiyo gari wakati kuna gari nzuri na zenye kutumia mafta kidogo. Na kwa bei hiyo unapata gari nzuri sana. Mfano: Raum na ist. Hiyo gari uliyoitaja sijawahi kuipenda hata kidogo labda kama wewe ni mzee.
Umeipendea nini hiyo gari wakati kuna gari nzuri na zenye kutumia mafta kidogo. Na kwa bei hiyo unapata gari nzuri sana. Mfano: Raum na ist. Hiyo gari uliyoitaja sijawahi kuipenda hata kidogo labda kama wewe ni mzee.
kelvin miho JF-Expert Member Joined Dec 9, 2016 Posts 281 Reaction score 134 Jul 15, 2017 #6 Nenda Facebook kuna kitu kinaitwa Tanzania online market utakutana na magar ya kila aina na bei za kila aina Sent from my HTC One using JamiiForums mobile app
Nenda Facebook kuna kitu kinaitwa Tanzania online market utakutana na magar ya kila aina na bei za kila aina Sent from my HTC One using JamiiForums mobile app
skfull JF-Expert Member Joined Dec 24, 2013 Posts 2,944 Reaction score 2,385 Jul 18, 2017 #7 malimingiii said: Mkuu huyu jamaa anatafuta na sio kuuza. Sasa picha atapata wapi? Click to expand... Dah nimechelewa kuelewa mkuu
malimingiii said: Mkuu huyu jamaa anatafuta na sio kuuza. Sasa picha atapata wapi? Click to expand... Dah nimechelewa kuelewa mkuu
Mwanza sales Senior Member Joined Nov 17, 2015 Posts 193 Reaction score 87 Jul 18, 2017 #8 Cheki hii hapa ninayo Sent using Jamii Forums mobile app
skfull JF-Expert Member Joined Dec 24, 2013 Posts 2,944 Reaction score 2,385 Jul 18, 2017 #9 Mwanza sales said: View attachment 545140 Cheki hii hapa ninayo Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Bei gani iyo mkuu
Mwanza sales said: View attachment 545140 Cheki hii hapa ninayo Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Bei gani iyo mkuu
Ray waniache JF-Expert Member Joined Jan 25, 2017 Posts 737 Reaction score 507 Jul 18, 2017 #10 nzur sanq Sent from my GT-S7301 using JamiiForums mobile app
Mwanza sales Senior Member Joined Nov 17, 2015 Posts 193 Reaction score 87 Jul 19, 2017 #11 skfull said: Bei gani iyo mkuu Click to expand... Milioni 7.5 Sent using Jamii Forums mobile app
gogogumu Member Joined Jul 30, 2013 Posts 52 Reaction score 46 Jul 19, 2017 #12 Weka picha za kutosha au kama gari bado unaipenda acha kutangaza kwamba unauiza mkuu. Sent using Jamii Forums mobile app
Weka picha za kutosha au kama gari bado unaipenda acha kutangaza kwamba unauiza mkuu. Sent using Jamii Forums mobile app
dogodogo 2 Senior Member Joined Jul 15, 2017 Posts 114 Reaction score 61 Jul 19, 2017 #13 Nipe namba zako PM
B buruhani2 Member Joined Nov 29, 2016 Posts 82 Reaction score 10 Jul 19, 2017 #14 Mpigie huyu utapata 0719961040 Sent using Jamii Forums mobile app