Matatizo yake inaonekana hata akiiosha haitakati licha ya kwamba ipo Mjini tena kwenye jiji.
Kwa ufupi gari yoyote inahitaji matunzo,ukiwa mtunzaji basi utauza kwa bei nzuri ila ukiwa killer basi jua imekula kwako.
Kuna mtaalam wa kukuza picha humu atakuja kuikuza,inaonekana mbele imekula mzinga then ikanyooshwa ikagoma