spear zake ni ghali sana
spear zake ni ghali sana
Ok,uhusiano wa mtoa hbr na iyo gar n upii?maana kajitoa kbsa as if jiran hajamtuma!!me nataka wwe nd ue cnnector ili kuondoa sintofaham,we c dalali?
Mimi nikiwa connector maana yake nitakua dalali,
Mwenye gari ni jirani yangu, aliniomba nimtangazie humu, ukipiga utaongea nae yeye na mtamalizana wenyewe!!
Sawaa lady ila ingekuwa vzr wwe ungejivisha uhuska afu ss tuchek na ww kwanz kw kujirdhsha zaidi.
Mkuu kwanza Pole sana,kwanza Tambua kwa vi Hijet haviwezi hii biashara kabisaa,na mwenye kujua nanunua Carry yenye kufaa biashara hii.Hata hizi Carry zinamatoleo ambayo ni bora zaidi kwa kazi ngum na nyingine ni Luxury.Hivi vigari ni pressure tu, nilikuwa nacho hijet nimeuza bt kwenye biashara kila mtu na bahati yKe