Hapana MkuuUnapokea kwa install kama ndio TUWASILIANE hapa 0657 740797
Kiukweli hizi gari kwa sasa zimepanda sana....na huwezi kupata gari yenye engine bora kama hii,vibali,bima na tairi mpya kabisa..kiukweli gari ipo poa sana..karibuni wote.asante.Mkuu hiyo bei du........
yes nipo DarMkuu uko dar au
Hapana,hii gari ina engine kali sana ambayo hata yard ukienda huwezi pata gari zenye engine iliyo bora kama hii.karibuni gari bado ipo.chukua milioni 5 mkuu nikutafute leo
Nimeku-PM number..kama una nia ya dhati basi nipigie.Mkuu weka namba yako
Hapana,hii gari ina engine kali sana ambayo hata yard ukienda huwezi pata gari zenye engine iliyo bora kama hii.karibuni gari bado ipo.