vivios JF-Expert Member Joined Jan 4, 2013 Posts 244 Reaction score 9 May 30, 2013 #1 Inauzwa suzuki carry 1998. 55000 km 660cc 5gear Manual. 7mil price ila bei inapungua.
U Ubungoubungo JF-Expert Member Joined Jul 28, 2008 Posts 2,502 Reaction score 743 May 30, 2013 #2 Ninaweza kukupatia 4.5? Tarehe 10 june? UMEITOA LINI JAPAN, AU ULIKUWA UNAITUMIA, KWANINI UNAUZA?
Naibili JF-Expert Member Joined Jan 24, 2011 Posts 1,878 Reaction score 1,061 May 30, 2013 #3 mkuu weka picha nitangaze dau
U Ubungoubungo JF-Expert Member Joined Jul 28, 2008 Posts 2,502 Reaction score 743 May 30, 2013 #4 vivios said: Inauzwa suzuki carry 1998. 55000 km 660cc 5gear Manual. 7mil price ila bei inapungua. Click to expand... UZURI umesema ni ya mwaka 1998 na bei ni maelewano. hiyo 7 ningeongeza tu 3 iwe kumi nichukue ya mwaka 2010 japan leo, zipo, manual na automatic uchaguzi tu. ila manual ni bora zaidi kwa kudumu.
vivios said: Inauzwa suzuki carry 1998. 55000 km 660cc 5gear Manual. 7mil price ila bei inapungua. Click to expand... UZURI umesema ni ya mwaka 1998 na bei ni maelewano. hiyo 7 ningeongeza tu 3 iwe kumi nichukue ya mwaka 2010 japan leo, zipo, manual na automatic uchaguzi tu. ila manual ni bora zaidi kwa kudumu.
vivios JF-Expert Member Joined Jan 4, 2013 Posts 244 Reaction score 9 May 31, 2013 Thread starter #5 White suzuki carry for sale Attachments uploadfromtaptalk1369972430701.jpg 52.7 KB · Views: 221 uploadfromtaptalk1369972451729.jpg 62.9 KB · Views: 177
N NOSVELA Senior Member Joined Oct 24, 2012 Posts 198 Reaction score 27 Jun 16, 2013 #6 Mkuu mimi nahitaji sana gari ya namna hiyo ni pm tu bargain mkuu kama bado ipo
vivios JF-Expert Member Joined Jan 4, 2013 Posts 244 Reaction score 9 Jun 16, 2013 Thread starter #7 Imeshauzwa ila kama bajet yako nzuri naweza kukuchekia nyingine
Shark JF-Expert Member Joined Jan 25, 2010 Posts 29,971 Reaction score 30,142 Jul 3, 2013 #8 vivios said: Inauzwa suzuki carry 1998. 55000 km 660cc 5gear Manual. 7mil price ila bei inapungua. Click to expand... Vipi 6 Cash unachukua?
vivios said: Inauzwa suzuki carry 1998. 55000 km 660cc 5gear Manual. 7mil price ila bei inapungua. Click to expand... Vipi 6 Cash unachukua?
vivios JF-Expert Member Joined Jan 4, 2013 Posts 244 Reaction score 9 Jul 4, 2013 Thread starter #9 Imeshauzwa
Prisoner 46664 JF-Expert Member Joined Dec 18, 2010 Posts 1,948 Reaction score 1,238 Jul 11, 2013 #10 NOSVELA said: Mkuu mimi nahitaji sana gari ya namna hiyo ni pm tu bargain mkuu kama bado ipo Click to expand... Chukua hii hapa,... Ni 7.5m tu...4wd. imetoka japan juzi. Ina tairi 5 mpya kabisa...unaweka insurance tu na kuendesha.
NOSVELA said: Mkuu mimi nahitaji sana gari ya namna hiyo ni pm tu bargain mkuu kama bado ipo Click to expand... Chukua hii hapa,... Ni 7.5m tu...4wd. imetoka japan juzi. Ina tairi 5 mpya kabisa...unaweka insurance tu na kuendesha.