Supply ya wanyama na nyama

The Alab

Member
Joined
Jul 10, 2013
Posts
9
Reaction score
2
Habari wanaJF,

Me nipo chuo mwaka wa 1 ila nimeanzisha mradi wa ufugaji Nguruwe na pia natarajia kuanza na kuku, bata, mbuzi, kondoo kwa ajili ya kufanya supply yangu kwenye mahotel na migahawa mbalimbali.

Naomba trend ya soko kwa anayefahamu ili nijipange vizuri..

Asante.
 
nipigie simu 0714064767 nikupe soko la wanyama hapa Dar kama upo serious
 
kwa soko la zanzibar inakaaje bro naweza pata more info plz
 
umefikia wapi katika ufugaji wako mkuu? una nguruwe wangapi hivi sasa? na vipi kuhusu soko?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…