C chakati Member Joined Jul 9, 2013 Posts 27 Reaction score 6 Jan 12, 2015 #1 Kwanini hakuna daladala zinazotoka njia yoyote kutoka wilaya ya Temeke zinazoruhusiwa kufika posta?Kama Kuna mdau wa Sumatra naomba maelezo,kama ni kuwafaidisha UDA,sasa inatosha!
Kwanini hakuna daladala zinazotoka njia yoyote kutoka wilaya ya Temeke zinazoruhusiwa kufika posta?Kama Kuna mdau wa Sumatra naomba maelezo,kama ni kuwafaidisha UDA,sasa inatosha!
Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,092 Reaction score 53,568 Jan 12, 2015 #2 Waambie wapitie muhimbili waungane na wanaotoka mwenge.