SUMATRA Arusha: Mbona mmelala?

amanison

Member
Joined
Jul 31, 2015
Posts
10
Reaction score
3
Kumekuwa una tabia za vigari viendavyo Tengeru Usa; Kukatisha ruti na ama kuongeza nauli ifikapo jioni kwa muda mrefu sasa.lakini hakuna ufuatiliaji wowote.Vihyce vingi vya Ngulelo hupakia had Mt meru.

Wakati mwingine siku za soko. Hurudia Shangarai nadhani ni muda sasa mtimize wajibu wenu kwani wananchi wanateseka sana.Na iwapo ni vigumu kwenu kuwepo vituoni hadi jioni, tafuteni tenda kuongeza ajira na kipato kwa Halmashauri.
 
Huu ni uonevu sana......kwa nini watufanyie hivi...........
 
kweli hili tatizo ni la mda mrefu sana lakini cha kushangaza wahusika wako kimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…