Clark boots
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 6,402
- 5,526
Mkuu hata nikioa mademu siwezi kuwaacha kiukweli, hebu niwasubiri vijna(damu mbichi) hapaAchana na "madem"
Ila Kama umri ni wa kuwa na "mademu"pambana nao hakuna namna
Bisheni nanyi mtafungulia...Siku hizi naona uvivu kutongoza mimi namwambia tu naomba ndudee baaasi,
atajifaragua weee kila mkikutana wew kumbushia hilo tu ila uwe serious kwelkweli, ombeni nanyi mtapewa.
Pita kwenye Uzi wa kula kimasikhara...Vijana wenzangu,,, kiukweli hawa mademu wa staili hii wananiboa saaaaaaaana, binafsi napendaga demu natongoza kisha mtongozo wote unaeleweka hapohapo, ila utawakuta hawa wengine mara subiri nijifikirie kwanza, kama umeelewa show nawe si unasema tu so mpaka mariiiiiiingo meeeeeengi aaaalaah..!!
Juzi nimekatokea kabinti huku site ameanza hizo za "Hebu nijifikirie" Kiukweli sipendagi kuchemsha viporo vya mtongozo, Ety wahuni nipeni mbinu mzuri hapa ya kukumbushia mtongozo ili mambo yaende sawa. Yaani sitaki niwe kama naanza mwanzo tena.
Nataka zile za ki-intelligence zaidi mpaka demu anakuja kustuka tushaingia kwenye point na hana njia ya kuchomoa kabisa.
Achana na mambo ya hela wewe.Ukiwa na hela hao madem watakutongoza mpaka na wewe utawajibu hivyo hivyo wanavyokujibu sasa hivi.
Hawaeleweki ukishakua nae ila kabla ya kuwa nae shida yake kubwa ni pesa zaidi kuliko penzi, ukiweza kumkoleza mahitaji yake nayo yanabadilika atataka penzi zaidi kuliko pesa.Achana na mambo ya hela wewe.
Wanawake hawajawahi kueleweka(Undefined) mingomingo
Kwani ukitoa siku hiyohiyo unapungukiwa nini? Si utamu uleule, halafu hao wanaosema wew Malaya ni wavulanaDuuuuu haraka haraka haina baraka wewe unataka ukiomba ukubaliwe siku hiyohiyo? ukishampata unaanza tena kusema nilimtongoza siku moja akakubali siku hiyo hiyo hamna wema.
Kweli kabisaKwani ukitoa siku hiyohiyo unapungukiwa nini? Si utamu uleule, halafu hao wanaosema wew Malaya ni wavulana
πππAcha kutongoza wanafunzi..
Baadae uje uambiwe ngoja mpaka Xmass ...