Subiri nijifikirie...

Clark boots

JF-Expert Member
Jun 5, 2017
6,384
5,509
Vijana wenzangu,,, kiukweli hawa mademu wa staili hii wananiboa saaaaaaaana, binafsi napendaga demu natongoza kisha mtongozo wote unaeleweka hapohapo, ila utawakuta hawa wengine mara subiri nijifikirie kwanza, kama umeelewa show nawe si unasema tu so mpaka mariiiiiiingo meeeeeengi aaaalaah..!!

Juzi nimekatokea kabinti huku site ameanza hizo za "Hebu nijifikirie" Kiukweli sipendagi kuchemsha viporo vya mtongozo, Ety wahuni nipeni mbinu mzuri hapa ya kukumbushia mtongozo ili mambo yaende sawa. Yaani sitaki niwe kama naanza mwanzo tena.

Nataka zile za ki-intelligence zaidi mpaka demu anakuja kustuka tushaingia kwenye point na hana njia ya kuchomoa kabisa.
 
Pita kwenye Uzi wa kula kimasikhara...
2:Acha kutongoza wanafunzi na church girls.
3:kuwa mcheshi ,nadhifu ,
4:Tafuta shekeli 💰
 
Kutongoza kuna mawili kukubaliwa au kukataliwa
Unaweza ukapewa majibu muda/siku hiyohiyo au muda/siku nyingine
Kwahiyo akifikria atakupatia jibu liwe ndio au hapana yote majibu
Hivyo basi tulia, mambo mazuri hayahitaji haraka
 
Ukiwa na hela hao madem watakutongoza mpaka na wewe utawajibu hivyo hivyo wanavyokujibu sasa hivi.
 
Achana na mambo ya hela wewe.
Wanawake hawajawahi kueleweka(Undefined) mingomingo
Hawaeleweki ukishakua nae ila kabla ya kuwa nae shida yake kubwa ni pesa zaidi kuliko penzi, ukiweza kumkoleza mahitaji yake nayo yanabadilika atataka penzi zaidi kuliko pesa.
 
Duuuuu haraka haraka haina baraka wewe unataka ukiomba ukubaliwe siku hiyohiyo? ukishampata unaanza tena kusema nilimtongoza siku moja akakubali siku hiyo hiyo hamna wema.
Kwani ukitoa siku hiyohiyo unapungukiwa nini? Si utamu uleule, halafu hao wanaosema wew Malaya ni wavulana
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom