Katika mazingira ya ushindani wa biashara, MATANGAZO si nyanja ya kufanyia mzaha hata kidogo. Unless wewe siyo serious seller, ungetuonyesha bei ya kuanzia, picha, cc, mileage n.k. ili seriuos buyer apate majibu ya maswali yake ya msingi (ashawishike) kabla hata hajakutafuta kwenye simu yako.