My fisrt, tulienda airport kuangalia ndege, tukapiga picha, tukiwa kwenye bus on our way there, tulikua tukiimba nyimbo mbali mbali na mapambio moja wapo yakiwa ya kumhamasisha dereva akimbize bus na kuovertake, ya pili tulienda kiwanda cha Soda za coca cola, tulikunywa soda nyingi mnoo, after that, wakasafiri wakubwa kwenda mbuga za wanyama, hiyo iliniuma maana sisi wadogo tulikatazwa, safari zilikuwa nyingi hizo Ni chache ninazokumbuka