Akhuu!zeekeni nyieHutaki uzeee shogaa
HahaaHahaaaaa basi hata mimi nimeghairiii
HahahaAkhuu!zeekeni nyie
Hivi @ Neybright anamiaka mingapi?sio 19 kweli?
NimeonaYule wa darasa.
HahahaMtakuja darasa la 4B
Hahaaa jamani kumbe bado kabinti kabisa12 kafikisha jana
HahahaSijafika huko bhanaafu sisomi Mtakuja nasoma Feza
Sijui ndio karudi,halafu anamrudia huyo mtu mbona alishafanyiwaHaaaaaaaaa naona kashatoka abroad
Kama ambavyo umeshindwa kuliuza jiwe lako kwa gharama yoyote, halikadhalika hupaswi kuyauza maisha yako wala kuyabadili kwa gharama yoyote, kwani wewe ni wa kipekee, hayuko wa mbadala wako."
- NIKUTAKIE SIKU NJEMA -
Nasubiri wengine maana hawa wote nimeshindwa kufika.Haa haa,hawa Team Stress wamefunga PM zao,ngoja niwasiliane na INVISIBO...