carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,569
- 285,617
Bora umekuja et we ni mchepuko wangu?Na mimi kama nawaona hivi hao ila malizana nao acha nitafute miwani niwaone vizuri
Na mimi kama nawaona hivi hao ila malizana nao acha nitafute miwani niwaone vizuri
Yaani bora cuzoo wako angekugawa asubuhiNimejibiwa bana, sasa roho imetulia
Hata sie tumeona kweli mmetoka mbaliMe na KK tumetoka mbali sana mwenyewe anajua
Hapo naona unaweza kulalaNimejibiwa bana, sasa roho imetulia
Hujambo KKNa mimi kama nawaona hivi hao ila malizana nao acha nitafute miwani niwaone vizuri
Kweli KK?Me na KK tumetoka mbali sana mwenyewe anajua
Muulize mwenyeweKweli KK?
Hili swali linahitaji nijibu essay pia report na project yake nadhani ndio watanielewa.Bora umekuja et we ni mchepuko wangu?
Sijambo askari wanguHujambo KK
Basi acha tu hata usijibuHili swali linahitaji nijibu essay pia report na project yake nadhani ndio watanielewa.
KK amekuja usingizi umevepaHapo naona unaweza kulala
Lala unono dogo.Basi acha tu hata usijibu
Kesho dogo acha nikalale
AhahhahahaKK amekuja usingizi umevepa
Kulikoni nimekuwa mfukuza usingizi kama mshana.KK amekuja usingizi umevepa
Kuna harufu ya wewe kubeba mikoba ya mshana jrKulikoni nimekuwa mfukuza usingizi kama mshana.
Acha nikalale maana carba amekwisha tangulia usinipe mikoba ya huyo jamaa.Kuna harufu ya wewe kubeba mikoba ya mshana jr