Haendi mtuHaahaaaaa atanisamehe kwa kweli muende tu kule kwa muosha naniliuuu kwa muda
Basi nitalipa nikipata hata mwaka mtondo gooUsawa huu hatulegezi kabisaaa
Madeni ni jadi yetuEeh kwenye hii sekta cuzoo wangu yuko vizuri sana tatizo unatuangusha hulipi madeni
Hapo sawaHaaaaaa sahivi kaacha
Hata mimi sikuwezi.Haaaaaaa sikuweziii
Kwani ye mwanaume wa darEti carba umeandaa maji ya moto kimnawisha Kichwa kichafu akiamka
Hahaaaaaa siwawezi nataka niwatoe kwa mkopo