Hahaaaaaa siwawezi nataka niwatoe kwa mkopo
Hili deni tulifute tu.Leo hayupo we tulipe tu deni letu
AaaaghhhrrrrSubiri kidogo naingia makubaliano hapa na muosha masufiria awachukue kwa mkopo
Basi deni lifutweHakuna nyongeza ya mshahara mkulu ashasema
Unautani na Kichwa kichafu eeehuyo huyo akuchukue we na Carba