carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,569
- 285,617
Kichwa bana. Kumbe anadeka ivoo
Shiiiiiiiii
Subiri aje mwenyewe atoe ufafanuziSikuelewi na huyo KK
Kweli kabisa.Nisingekuita chai ungekaribishwa saa ngapi.
Nishukuru kuku zindua
Wee@Mwifwa njoo ulipe madeni hukuTukopeshe mtaji basiii
Mwifwa kakopa sana halafu hajaleta hela kaua Mtaji wetu
Tukopeshe mtaji basiii
Mwifwa kakopa sana halafu hajaleta hela kaua Mtaji wetu
Eti carba umeandaa maji ya moto kimnawisha Kichwa kichafu akiamkaYani mtu mchoyo bhana
Mwache aamke tunywe chai bhana
Duuuuhh!!Wee@Mwifwa njoo ulipe madeni huku