Mi wa afya teleYap sijui wewe
Linamo moyo wangu unadunda dundaCuzoo
Kwani uongo?
Naaam shemDoh Shem
Mpe hii Sakayo.
Leo unalo
Hahaha!Mpe hii Sakayo.
Naona mnapokezana maana jana kasema ulikuwa unapombeka sijui wapi
Kwa hiyo nililishwa matango mjini na Sakayo eehhh!!Hahaha!
Hakuna mkuu! Jana nilikuwa kwenye pre-Chrismas party tuu.
Wala sikupombeka mimi.