bhasii ngojaa niingiee na yangu na mm naweza pata mama dOoooh basi ya kwake aliyoanza nayo ndio mama aliniambia salaam yake
Yaan acha tuu, nimefurah jamani maana tulikuwa kama wakimbiziNakumiss ujue hatimaye tuna makutano yetu
Napenda sana muonekano wako...Mkuu karibu na hapo si nimewakaribisha wote. Karibu sana
Wakimbizi si kidogo kuteka nyuzi za watu na kuzifanya zetuYaan acha tuu, nimefurah jamani maana tulikuwa kama wakimbizi
Nanyanyua chuma veeep natia huruma cuzooCuzoo hiyo mikono vipi unanyanyua chuma au
Nachunguliaga sana majukwaani ila huwa nakuona...pia....upo vizuri sanaKaribu unaonekana hapa kila siku
AhahahaaaaaWakimbizi si kidogo kuteka nyuzi za watu na kuzifanya zetu
Akiii muosha masufuria tumemuonea sana na nyuzi zakeAhahahaaaaa
Vipi na weza nikapata bahati...ya kukuita majina mazuri ya upendo¿Haya bwana