Ahsante kushukuruAsanteee
Masihala Masihala Mwaka Unapinduka Na Mtt Mkali From JfUmeona eeehh!!
Sitaki.Kalale basi
Ndio hivyo mkuuHata Mi Ninayo Yaongea Haya Uhalisia Najazia Jazia Nyama Uzi Huu
Si mnasemaga jf hakuna watoto wakali kuna vikongweMasihala Masihala Mwaka Unapinduka Na Mtt Mkali From Jf
Haya lala hapo kwenye kochiSitaki.
Nataka nilale kwenye kochi ili nikishtuka nikute nipo kitandani
Walai Nakwambia
Kama Una Ushaidi Ambao Mim Nilisema weka HapaSi mnasemaga jf hakuna watoto wakali kuna vikongwe
Sio wewe wanasemaga wengineKama Una Ushaidi Ambao Mim Nilisema weka Hapa
Ila Kama Kuna Wengine Walisema Basi Usinipe Hukum Kupitia Hao
Tunatofautina
Vigagula mawazo yao kumbe watoto chumaa
Vigagula jamani
Sasa Ndugu Yangu Unautan Na Watu
Vigagula jamani
Bass Usinipe Iyo Hukum Ni Huku Mim Kama Mim Ambiere KivieleSio wewe wanasemaga wengine
Sasa Ndugu Yangu Unautan Na Watu
SawaBass Usinipe Iyo Hukum Ni Huku Mim Kama Mim Ambiere Kiviele
Iv Unajua Nashindwa Kukuweka Katika Gundi LipVigagula mawazo yao kumbe watoto chumaa
Tunayoandika usiyaamini tupo tofauti kabisa
Ukweli mkuu, uzuri wanajijua