Cuzoo kumbe unayajua sakayo wa ushuani ujue hayajui etiHahaaaa kabisaaa na makoromelo
Nilikuulizia tu shemShem nimeambiwa unanitafuta jaman na sakayo vipiii kwema
Huku poa shem niambieNilikuulizia tu shem
Huku vipi??
Salama tu,napita kusalimiaNzuri laazizi..
Niambie
MmmmhSalama tu,napita kusalimia
Nina usemi kwani??Huku poa shem niambie
Upo dunia hii kweli??!!Omar Lugendo
Prince Kunta
Norshad
Transcend
gemmanuel265
Kwa wanawake
elvee
jakitoo
Clkey
agata edward
Doris Gabriel
Bila kuwasahau ile team mavurugu ile mnajijua jamaani na nimewamiss sana hivi mpo?
Nani alikuteka etiOmar Lugendo
Prince Kunta
Norshad
Transcend
gemmanuel265
Kwa wanawake
elvee
jakitoo
Clkey
agata edward
Doris Gabriel
Bila kuwasahau ile team mavurugu ile mnajijua jamaani na nimewamiss sana hivi mpo?
Woiiiiii samehe mimi slim ebu endelea basi na mambo ya kumuhadithia sakayo
Hauna usemi kabisaNina usemi kwani??
Mwifwa za wewe apo
Kwa hiyo ndio ujifiche?Hahaaaaami mzima kabisa sina tatizo kabisaaa
Naenda kuzurura huko mitaaniMmmmh
Unaenda wapi
Banned
Nilijipiga Ban kidoogo ila nimerudi dada. Mzima?
Me mzima sana dada akee jaman hofu kwako tu
Nilijipiga Ban kidoogo ila nimerudi dada. Mzima?
Duuuuuhhhh!!Bila kusahau mapupu na mabandama