=======Mkuu nimekuja mimi,au mpaka niitwe?
Mbona kama ni wanawake tu?Mkuu karibu na hapo si nimewakaribisha wote. Karibu sana
Hapana jamaniiNini tena ushaanza
Yupo busyHivi ukhuty alienda wapi
Nikupe maji shoga mana sio kwa kikohozi hicho mmh.Kho Kho Kho Kho Kho Kho Kho Kho Kho Kho
Woyoooooooooooo
Kwahiyo apa ndio kijiwe chetu eenh cha kukutanaYupo busy
Mnapiga sana soga kwa watu
Mnageuza kwenu
Nadhani tungekaribishana vizuri PM.Hapa jinsia zote zinakaribishwa.