Street ICT

Street ICT

Member
Joined
May 3, 2015
Posts
6
Reaction score
2
Habari waungwana

Nimekuja kuitambulisha statups yangu hapa inaitwa Street ICT ni wazo nililoanzisha nikiwa chuo mwaka 2013 mwezi wa 10.
Street ICT inajishughulisha na
utowaji wa elimu hasa katika tehama katika shule za secondary na primary school.Pia kwa jamii na hata taasisi ambayo/ambazo zitakua na mahitaji.Kwa shule za secondary program hizi tunakua tunatoa bila gharama zozote cha msingi wanafunzi wawe na muamko.Pia kama unafaham shule yeyote ambayo ina hitaj huduma hii unaweza wasiliana nasi.
Kwa Ushauri/maoni
Unaweza kulike facebook page yetu yenye jina la StreetICT au unaweza kutwasiliana nasi kwa. barua pepe streetict@gmail.com au simu ya mkonon +255769913455
 
Ok,all the best katika utoaji wa huduma bure,ushauri tu kama mnaweza tengeneza website na hujasema coverage yenu ikoje africa yote,east afica,Tanzania au mkoa fulani tu?Je na mkoani kama mtahitajika itakuwa bure?unatisha,all the best.
Huo utambulisho ongezea details ili watu wawajue vizuri.
 

Thanks tumeanza na dar es salaam kwanza. Upokeaj utakavyokua mkubwa na tutakapozidi pata connection na network ndo tutatembelea mikoa mingine
 
Unamaanisha nini unaposema Program?

Niliposema program nammaanisha uwasilishaji wa jambo nililokusudia
Angalizo
Street ICT lengo letu kubwa ni kuwashawishi na kuwapa wanafunzi wigo mpana tangu wakiwa shule waelewe kuwa kuna career nyingi tu ndani ya field ya computer.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…