Uliwapigia simu lakini??? Always check with them kama kuna tatizo.Wiki Juzi nikaenda Aga Khan nimcheki urologist lakini pia nkaenda Muhimbili. Ninatumia bima za Afya mbili ambazo ni NHIF na STRATEGIES. Sasa hawa jamaa wote nkawaona madaktar kwa pande zote mbili vitengo vya Urology.
Nimefika Muhimbili nkawaelezeaaaa wakanipa vipimo nkaenda maabara nkapima fresh yaan. Huku nilitumia NHIF
Nkaondoka kwenda Aga Khan nako nkaelezaaa wakaniandikia vipimo nkaenda maabara kupima. Huku nilitumia STRATEGIES. Nlichoshangaa wananiambia kuna vipimo bima haikavi... kipimo kama Semen Analysis ambacho gharama yake si kubwa na ambacho NHIF inakava wao hawakavi wanataka nilipe karibu laki 2. Nkashangaaa yaan.
Nawaombe i mjirekebishe na mpunguze exclusions.... kuna vitu ni muhimu sana kuviweka ikiwa bima itakuwa na lengo la kwanza kuhakikisha watu wanapata usalama wa afya. Mbona wenzenu NHIF wanakata hela kidogo tu na wanacover vitu vingi?
NOT TRUE!!!!!Strategies ni Wakenya.
Hilo ni jibu tosha. Waajiri wengi huwapenda maana wanamwaga sana rushwa wapate tender. Wakishapata, matokeo yake ni viroja hivyo.
Very true.NOT TRUE!!!!!
Whatever they are called, wezi wakubwa.Wanaitwa Strategis Insurance na siyo Strategies Insurance.
I don't....Very true.
Unless unafanya kazi huko. You are defending your ugali.
Rushwa ilifanya NMB iwanyime au ikatae kuendelea nao. Wakati huo CEO mama Mholanzi alipojua issue ya rushwa, akawakataa
Wewe inaonekana hata sio member wa Strategis mimi nimetibiwa Agha Khan bili zaidi ya 26mWhatever they are called, wezi wakubwa.
Hao Strategis wanaua watu wakisubiri approval za kijinga ili watibiwe.Wewe inaonekana hata sio member wa Strategis mimi nimetibiwa Agha Khan bili zaidi ya 26m
Matibabu zaidi ya Milioni 26!! Aiseee bwana mkubwa bila kueleza identity ya jambo ulilotibiwa direct, ni zoezi gani la kiutabibu la kawaida lina range amount hiyo.. mambo ya figo na mengine makubwa tunafahamu na ni operation/surgeries.Wewe inaonekana hata sio member wa Strategis mimi nimetibiwa Agha Khan bili zaidi ya 26m
mkuu kwanini ulifanya analysis, pole sana lakini.kipimo kama Semen Analysis