Stop Russophobia, stop ProxyWar

Hero

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2010
Posts
3,919
Reaction score
2,843
Dear all, how are you?
We are in a brink of WW3 which would not guarantee anyone's safety! American and NATO have instigated this war, and now, by providing weaponry to Ukraine, in actual sense they escalate the war with a huge risk of flipping into all-out WW3. Each moment the war is prolonged we are getting closer to a worst-case reality. It is important to leave the Russia alone to carry-out its 'military operation' in Ukraine just the way we've been able to leave NATO to carry-out its military operations in Iraq, Iran, Libya,Syria, Cossovo, Somalia, Afghastan etc!

We 'd avoid provoking Russia & Putin who is holding in his hand a nuke button! It is in American interest to escalate the war for its economic benefit & disruption of Russia economy!
 
Zaidi ya wiki bado mumekwama, hamjaiteka Kiev, wanajeshi wameanza kupora chakula, hovyoo sana na wadhaifu.
Putin nilikua namkubali alivyokua anapiga magaidi ya kidini ya kiislamu, Lakini kwenye huu ugomvi yuko hoi.
 
Wewe tatizo lako ulo biased mnooo....nafikiri tusifungwe na upande wowote....hakuna watakatifu hapo kati ya Russia,Ukraine, Western world, USA etc...Ni bora tukawa open kotekote.....tusimtetee mtu..
 
Hata ikiwa mwaka Ukraine watapigwa tu!!!
 
Wewe tatizo lako ulo biased mnooo....nafikiri tusifungwe na upande wowote....hakuna watakatifu hapo kati ya Russia,Ukraine, Western world, USA etc...Ni bora tukawa open kotekote.....tusimtetee mtu..

Huyo Putin mnamuona kama mtume amefuata nini kulipua majengo na makazi ya watu ambao hawakua na ugomvi naye.
Amewekeza wanajeshi 120,000 ambao wameanza kulemewa na njaa, leo hii kuna maelfu ya wapiganaji wa kujitolea wanaingia Ukraine kila siku, huyo Putin anaendelea kupata frustrations za mwaka, alidhani ataingia Ukraine kama choo na kuondoka.
Rais wa Ukraine amejitoa mhanga liwalo na liwe.
Urusi inatengwa na dunia kwenye kila kitu.
 
If it is WW III let it happen. Russia is intimidating about WW III so as people may stay away from her maddness in Ukraine.

It's in the Russian Hands to start WW III or leave Ukraine Alone.
 
Zaidi ya wiki bado mumekwama, hamjaiteka Kiev, wanajeshi wameanza kupora chakula, hovyoo sana na wadhaifu.
Putin nilikua namkubali alivyokua anapiga magaidi ya kidini ya kiislamu, Lakini kwenye huu ugomvi yuko hoi.
Hivi unakijua kiini cha huu ugonvi? Tenga muda ufuatilie, utajifunza mengi!
Hawa Marekani na jumuia yao ya kujihami (sijui wanajihami na nini?) wanaivuruga sana hii dunia!
Wanapandikiza vibaraka wao kwa masilahi yao! Huyu rais wa Ukraine ameiingiza nchi yake kwenye mzozo wa kipuuzi sana kwa ufinyu wa ufahamu! Anatumika na hao NATO akiwatanguliza raia wake kwenye kifo! Kama anauchungu huo anaojidai anao kwa nchi na wananchi wake ange'settle' hizo differences na Putin!
 
If it is WW III let it happen. Russia is intimidating about WW III so as people may stay away from her maddness in Ukraine.

It's in the Russian Hands to start WW III or leave Ukraine Alone.
Inaonekana umeshiba sana na umevimbiwa(samahani kama utakwazika kwa hiyo lugha ila imebidi nikueleze ilivyo)! Hivi unaelewa maana ya WW3 ktk ulimwengu huu wa technologia hii! Mungu aepushie mbali hilo balaa!
Kinachofanyika sasa hivi ni kama kujimwagia petrol na unajisogeza kwenye moto unaowaka!
Russia haitaki kuuwa watu wasio na hatia, ndio maana haijatumia msuli wake wote! Na inasemekana inawasubiri NATO na USA wao wajichanganye ndio utaelewa mrusi ni mtu wa aina gani! Tusiombee hiyo hali ikafikia!
 
Mengine hayo ni propaganda za Ukraine na vyombo vya habari vya magharibi! Ukraine wanajitekenya wenyewe na kucheka! Wanalipua nyumba wenyewe na kusingizia Russia! Mfano mzuri ni ile 'nuclear power plant!
 
Hata ikiwa mwaka Ukraine watapigwa tu!!!
Ukraine hairudi kwenye hali yake kwa miaka mingi sana ijayo, na hayo ma 'stinger missile launcher wameyagawa kama nyungu kwa raia ovyoovyo yatatumika kutengeneza vikundi vya Alshababu huko, na watafanya hiyo anga ya Ukraine kuwa hatari sana maana yeyote anaweza idungua ndege ya abilia muda wowote baada ya vita kuisha! Ukraine wameloshwa matangopori na USA na wanaendelea kulishwa 'eti wapiganie nchi yao mpaka tone la mwisho la damu ebo...baada ya kuwa wote hiyo nchi itakuwa na maana gani sasa!
 
Wewe tatizo lako ulo biased mnooo....nafikiri tusifungwe na upande wowote....hakuna watakatifu hapo kati ya Russia,Ukraine, Western world, USA etc...Ni bora tukawa open kotekote.....tusimtetee mtu..
Anasikiliza sana propaganda za magharibi, akitulia afuatilie ukweli atakuja futa hizo 'comments' zake zote!
 
Bila shaka huijui historia na nini umuhimu wa kujihami, au kwanini hizo jumuia za kujihami huwa lazima kwa baadhi ya mataifa.
 
Bila shaka huijui historia na nini umuhimu wa kujihami, au kwanini hizo jumuia za kujihami huwa lazima kwa baadhi ya mataifa.
naona umashalishwa matangopori vya kutosha, hutanielewa, wacha niishie hapa!
 
try until success ​

1 minute ago (edited)

๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฆZelensky : Stop war, plz help us.
๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡บPutin : ok when you agree to stop joining in America, nato union.
๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡บAmerica and nato : zelensky don't stop war , We support you with weapons .
๏ธ Media : we support who give us more money , we spread fake news also it's depends on money percentage.
People of world : praying for no war and peace.
 
akiripua kwetu furaha
 
If it is WW III let it happen. Russia is intimidating about WW III so as people may stay away from her maddness in Ukraine.

It's in the Russian Hands to start WW III or leave Ukraine Alone.
nibora dunia ifikie mwisho MKUU lakini sio UKRAINE kuachwa Never
 
akiripua kwetu furaha
Sema wenye dini yao waarabu wana huzuni sana maana huyu Urusi ndiye alikua tegemeo lao na ameonyesha alivyo hoi.
Maustadh wa bongo ndio mumebaki mkipiga makelele.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ