Mimi kama mwenyeji wa Bunda na mzaliwa wa hapa jana nilitamani nimulize mzee Wasira swali lakini ningempa shida sasaa leo naliweka hewani.
Kwa mujibu wa takwimu inasemekana Bunda ni wilaya maskini kuliko zote na hii wilaya ina mifugo na inalimwa mazao kama pamba na mengneyo na huyu mzee anatokea Bunda.
Sasa anataka urais wa nchi.