Ukinipa ushahidi wa mtu yeyote ambae ni Pro-Magufuli aliemkosoa nitakupa unachokitaka toka kwangu. Ni Pro Magufuli pekee watakaoamini ulichoandika. For the record, unaamini Taifa Stars kushinda, same as washabiki wa Magufuli wanavyoamini kuwa nchi itaendelea lakini ukweli ni kuwa timu yetu ya Taifa haijaandaliwa (Kwa maana hiyo haiwezi kushinda) kama nchi inavyoendeshwa bila mipango which means ni lazima tushindwe