Hahahaha, kuna siku niko hapa Lubumbashi na wacongo man , siku hy kulikua na mechi za makundi Zimbabwe na RDC ,RDC wako uwanja wa nyumbani Kinshasa ,
Nikawaambia Zimbabwe wanawafunga hawa jamaa wanajua sana na wengi wako south Africa wanacheza first eleven timu zao ,ukawa ubishi ,dakika 90 zinaisha Zimbabwe 2- 1 RDC ,hawakuamini