Legend haachwi kizembe soon atasaini mkataba wa Mitano tenaKwahiyo Boko ataendelea kubakia Simba, hakika Simba hatuna dhamira ya mabadiliko.
Unamuacha Okrah then unabakisha Boko.. huu ni upuuzi uliofanya tufe kiume kwneye mechi ya Wydad.. yani team inahitaji matokeo alaf anaingia boko badala ya moses phiri.
Kwa kasi waliyonayo utopolo, tunaweza kuutafuta ubingwa mpaka 2025 tusipokuwa makini. Mabadiliko ndani ya Club lazima yahusishe kutoa wachezaji wazee likes of Boko na Nyoni.. hao ndio wapiga misumari wakubwa
Ndio kbs sisi mambo yetu usiku wa mananeBahat mbaya Yanga sio okota okota
Ndipo wahenga wakasema "Usilolijua ni sawa na......"Sio, mfuatiliaji sana, wa maisha binafsi ya mchezaji lakini nitakuwa, wa, mwisho kuamini kuwa ulevi ndo sababu, ya kushuka kwa kiwango Chake na kupelekea kuvunjwa kwa mkataba wake.
Halafu atacheza namba ya nani pale Yanga!!Anaenda Yanga [emoji3]
Hebu mtaje mchezaji kijana mwenye uwezo kumzidi Boco..Kyombo ndio huyo..Haya Nyoni nae amekuwa bora kuliko Kapama..acha tu waendelee kula pensheni vijana wameshindwa.Kwahiyo Boko ataendelea kubakia Simba, hakika Simba hatuna dhamira ya mabadiliko.
Unamuacha Okrah then unabakisha Boko.. huu ni upuuzi uliofanya tufe kiume kwneye mechi ya Wydad.. yani team inahitaji matokeo alaf anaingia boko badala ya moses phiri.
Kwa kasi waliyonayo utopolo, tunaweza kuutafuta ubingwa mpaka 2025 tusipokuwa makini. Mabadiliko ndani ya Club lazima yahusishe kutoa wachezaji wazee likes of Boko na Nyoni.. hao ndio wapiga misumari wakubwa
Mbona mlizoa MorrisonBahat mbaya Yanga sio okota okota
Yanga ya sasa siyo zoazoa, usifananishe Yanga hii na vitu vya kipuuzi.Mwamba wa ghana kipaji anacho kizuri tu.Sasa shida ni starehe zimezidi inadaiwa baada ya kutua jiji la starehw za aina zote DAR ES SALAAM,Okrah amekua ni mtu wa maji sana.
Tafiti za kimatibabu ndani ya Simba zimeonesha Okrah ndio mchezaji anaangoza kwa fatique(Kubanwa msuli uwanjani) ndani ya muda mfupi kuwahi kutokea.Fatigue zinasababishwa na mambo mbalimbali kwa Athletics ikiwemo mazoezi hafifu.
Injury pia zilimuandama kwahiyo trip moja uwanjani nyingine hospital.Vilevile Kupigana na wachezaji wenzie.
Okrah ameonekana mara kadhaa akishinda kidimbwi usiku kucha.Inadaiwa wakala wake ametuma Ofa kwa Yanga hivyo anasubiri wakae mezani.
Simba imetangaza kuboresha kikosi kwa kuachana na baadhi ya wachezaji wake akiwemo Mkude,Kyombo,kapama n.k
Starehe zisizidi kiasi
Nawasilisha
Kwa wachezaji waliopo simba ilihuraji beki na kiungo mmoja tu. Kwasababu pale mbele pako vizurMchezaji hapangwi halafu wanasema ameshuka kiwango, kama ulevi ingekuwa sababu hukuwaona Kizota, Gaga na Mafisango tukubali Simba Kuna tatizo ndio maana Kuna msimu Boko alimaliza bila kufikisha goli tatu na pia ni majeruhi mara kwa mara lakini Kila msimu anaongezewa mkataba
Okra na Kisinda Okra mzuri, Okra na Moloko Okra mzuri.Tatizo la Okrah hapo Simba sio ulevi bali ni uchawi kwa wachezaji, kwahiyi Israel nae ni mlevi?, Vipi phili, Banda?. Kingine Okrah Karma yakutumika kumfukuza Dejan inamtafuna, Yanga Kama wanataka Winga basi Okrah anafaa.
Ligi yetu hii ukimtoa mpuuzi Morrison na kipre jr hakuna winga mwingine anayemfikia Okra.Okra na Kisinda Okra mzuri, Okra na Moloko Okra mzuri.