Standard house for sale

NAREI

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2017
Posts
1,730
Reaction score
1,665
Habari za majukumu wana jamvi!
Nimeamua kuja kwa Mara nyingine.

Nyumba hii inayouzwa ni ya ndugu yangu, ipo banana, KITUNDA.

HOUSE DESCRIPTIONS:
location: banana (KITUNDA) 5km from banana station
House facilities: electricity, plenty water supply, and fence.

HOUSE DECORATIONS: gypsum, tiles, aluminium window/door,

ROOMS AVAILABLE: three bedrooms (one master), dinning room, sitting room, kitchen and store.

PLOT SIZE: 1600square meter (40m×40m)

All valid Documents available
Find attachment below:

Outside view





Price: 55 million (negotiable)
Contact: 0756 832833
 
vipi ndani kunalalika maana wengine mnauza nyumba kwasababu ndani hakulaliki. usijekuta imejengwa juu ya makabari....Anyway just joking, MKUU TO SABABU ZA KUIUZA.
 
vipi ndani kunalalika maana wengine mnauza nyumba kwasababu ndani hakulaliki. usijekuta imejengwa juu ya makabari....Anyway just joking, MKUU TO SABABU ZA KUIUZA.
Mwenye Mali/ nyumba ana deni la mkopo!
 
  • Nyumba mbili zina uzwa dodoma... Eneo zilipo nyumba hizi ni Ntuka... Una pita Uzunguni, Kilimani (Kijiji cha mwalimu Nyerere, Ikulu iliyo jengwa kwa ajiri ya mwalimu na vijana wa JKT)
  • una panda mlima wenye minala inayo onekana ukiwa sehemu yoyote Dodoma mjini au ukiwa una ingia dodoma mjini
  • Karibuni, kila Nyumba ni 50M... naambatanisha na picha... kila nyumba ina vyumba vinne (4), ukitaka moja au zote karibu...
  • makabidhiano tuta kabidhiana kwa mwanasheria kwa usalama wako na wangu pia...! kama una mwanasheria wako itakuwa ni jambo jema... ukitaka kuja kuziona au kujilizisha basi tutafutane...! Namba 0718440828
 

Duuh.hamsini milioni pesa za Tanzania?
 
Million 30 inakubalika
Shukrani kwa offer mkuu,
Nimesema bei ni negotiable lakin uko mbali sana tu.

Nyumba ni ya kisasa! Na ina documents zote.
Adjust offer yako.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…