RANYE WEST
Member
- Apr 29, 2013
- 7
- 0
mjiogainise then mgome kuingia darasani,,,wanawekaga fixed account hao
mdau kuna kiasi fulani ukikiweka wanaweza kukufanyia far ya mwezi mmoja tu,,sababu kiuhalisia hizo hela huzungushwa kwenye bihasharaJamani hii kitu imekuwa ikiniumiza akili hivi kuna ukweli wowote kuwa huwa wanaweka kwenye fixed account>Maana fixed account ili upate faida nadhani ni kuanzia kama sio miezi mitatau basi mmoja,je hao wa chuo inamaana wanachelewesha miezi mitatu au kuna fixed account ya week moja au tatu?
Naomba kama kuna mdau yeyote mwenye namba za watu au mtu wa karibu bord ya mikopo anipe,tafadhali ninashida sana, namba ambazo ukipiga zina patikana na wanapokea hao HESLB
mjiogainise then mgome kuingia darasani,,,wanawekaga fixed account hao
umeonaeewanafunzi wa st joseph ni waoga sana awawezi kugoma wana waogopa wahindi sana ndo mana mpaka sasa wameamua kutulia tu,uoga wao ndo unawaponza ngoja wapate cha moto:A S 13:
wanafunzi wa st joseph ni waoga sana awawezi kugoma wana waogopa wahindi sana ndo mana mpaka sasa wameamua kutulia tu,uoga wao ndo unawaponza ngoja wapate cha moto:A S 13: