Daa! wafanyakazi sasa wa chuo hiki pale Dom, sijui kama wanajitambua. Yani Mwanachuo akiwa na shida ya kiofisi wananyanyasika utaskia 'subiri' utasubiri milele 'njoo kesho' utaenda kesho, keshokutwa hadi mitondogoo bila mafanikio.Wanadhani wao wamamaliza kila kitu, hawajui tu kuna wanafunzi wanasoma pale ni wakubwa tu maofisini mwao na wengine ni wa kitaifa.Pale kwa Burser ndo usiseme ukiwa na roho ndogo unaweza piga mtu, kule town center Dom kuna mtu anaitwa Abdul hakika anahitaji ukombozi wa kifikra, the young boy is so dumpen.
Shida pia ni kwamba hawaajiri kutokana na uwezo na academics za mtu bali inabidi uwe mchungaji,mke wa mchungaji,mtoto/mjomba,binamu wa mchungaji au askofu na mwisho ukiwa MGOGO hasa wa Mvumi ni added advantage
Si kubaliani na wewe kama chuo kinaweza kuendeshwa bila prospectus na Almanac.Ninachojua mwanafunzi anajukumu la kuwa na prospectus anapoingia mwaka wa kwanza chuo chochote.Kingine aijalishi mtu kuwa n MBA asifundishe mtu wa MBA kinachoangaliwa ni uzoefu wa kazi na sio lazima Phd Holder,ninachojua kwa Stjohn dean wa faculty ya Business ni Phd Holder na full nbaa holder with international experience so my dear for stjohn you are wrong.Pia kingine ni kwamba mtu unapofukuzwa chuo kuna chanzo kwanini wasilalamike chuo kizima alalamike mmoja.Kuhusu vyeti ni vyuo vingi vinachelewa kutoa vyeti coz vyeti vya chuo sio kama vya sekondari vina utaratibu wake kuvitoa na vingi avichapishwi Tanzania.
Hivi Professor Mwaga bado yupo?
OHOOO, WEWE UNATAFUTA VITA NA HAWA MUJAHIDIN. MIMI SImOMmmh! kumbe hata vyuo vya kanisa ni magumashi namna hii, nilidhani ni only moslem's, .........wht a pity!!!!
Boss, unataka kusema hata transcripts zinachapishwa nje ya nchi. Sitaki kuamini katika hili. Ninao ushahidi katika hili jinsi mlivyowahidi wahitimu hasa wale wa Centre yenu ya Dar mara tu baada ya mahafali. Wadau hebu tusaidiane kwa hili la vyeti kutengenezwa nje ya nchi kuna ukweli?Si kubaliani na wewe kama chuo kinaweza kuendeshwa bila prospectus na Almanac.Ninachojua mwanafunzi anajukumu la kuwa na prospectus anapoingia mwaka wa kwanza chuo chochote.Kingine aijalishi mtu kuwa n MBA asifundishe mtu wa MBA kinachoangaliwa ni uzoefu wa kazi na sio lazima Phd Holder,ninachojua kwa Stjohn dean wa faculty ya Business ni Phd Holder na full nbaa holder with international experience so my dear for stjohn you are wrong.Pia kingine ni kwamba mtu unapofukuzwa chuo kuna chanzo kwanini wasilalamike chuo kizima alalamike mmoja.Kuhusu vyeti ni vyuo vingi vinachelewa kutoa vyeti coz vyeti vya chuo sio kama vya sekondari vina utaratibu wake kuvitoa na vingi avichapishwi Tanzania.
Mkuu naona ww ni mmoja wa wadau wa SJUT, either kifamilia au kiajira! Kwanza huyo dean FOCB i.e KI..NGA (kasoma malaysia kwenye chuo cha kata, ni shoga na anatabia za kuwalaghai wanafunzi wakike kwa kuwapa maksi na kuwala TIGO) mfano ninao demu wa jamaa yangu kamtigolize mpaka jamma wakabreak na GF wake, ni mtaalamu wa ndumba ile mbaya....! Wape salamu "ma-lecturer uchwaara" Jam....es, mzee wa Botswana, fadhi...l,.......etal
usiniambieAlifariki miaka kama miwili hivi iliyopita