Hello wakuu,,lengo c kutangaza kwa namiliki gari Bali n kagari ka kupewa na shemeji!
Hivo bas natafuta sport reams imara za saiz 195/70 R 14!! Pia nitafurah kama nitapata zile ambazo n used Japan kwa maana zinazokuja na Magar wengine wanazitoa. Sihitaji ream hiz zinazopinda ama kukatika mfano ukigonga shimo!! Naamin mmenielewa!! Karibu