Sponsors

Dodeo

New Member
Joined
Oct 11, 2018
Posts
3
Reaction score
0
Samahani wakubwa, nahitaji kujiunga na masomo ya elimu ya juu na tayari nimepata chuo kikuu cha dodoma,, uwezo wangu kimaisha ni mdogo sana kumudu masomo hayo. Mwenye kufahamu naomba anishauri namna ya kupata sponsor hapa Tanzania ili niweze kusoma katika chuo hiki.
 
Actually nasimama badala ya mtu, hakufanya application coz alikuwa anaumwa sana
Sasa mkuu kama sahivi umeweza kusimama badala ya mtu ulishindwa nini kusimama badala yake wakati wa application za mkopo umsaidie ku apply anyway kwa sikuhizi kupata sponsor ni ngumu sana but ajitahidi kutafuta kwenye mashirika ya dini ikishindikana itabidi a postpone chuo ili aombe mkopo mwakani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…