Spika za ukutani

Wikiliki

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2010
Posts
528
Reaction score
141
Wadau ni wapi au duka gani ninaweza kupata spika za ukuta hapa Dar. Asanteni
 
colam spika zinapatika kariakoo maduka ni mengi sana zinauzwa.
 
Asante mdau@twatwatwa. Mie kuna siku nilienda kuzungukazunguka huko kila duka nikuiliza holaa. Unaweza kunieleza niende wapi specific nipate.
 
kuna duka sikumbuki jina linatizamana na jengo la ddc kariakoo'benk ya posta. ndani lina vifaa vingi vya music nenda hapo. Umenipata ? Au nyuma ya gorofa ya klabu ya simba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…