Utakuwa netflix au wajuba hawajauza haki zao?Yeaaap imetoka juzi ila rasmi worldwide itaachiliwa Dec 17.
Nilitaka niitizame Xmass ila I can't wait asee...
Hapana mzee Kwa sasa ipo Cinema kwanza baada ya siku kadhaa itawekwa kwenye Chanel za starz kwa walio mambele huko ndio watatazama. Baada ya miezi miwili itakua Disney+ hapo ndio sisi wazee wa torrent tutaipata.Utakuwa netflix au wajuba hawajauza haki zao?
Mkuu yaani mnavyoniona wa ajabu kwa kupenda muvi na animation namm nawaona wa ajabu mnavyopenda mpira +Beer, hua najiuliza inakuaje mtu anapata hamu ya bia kabisa na kusema bia tamu????Aisee jamaa unapendaga muvi za aina yako tu tena mixer mikatuni..🤣
But anyway binafsi napenda za wizi like money heist,napenda zakipelelezi kama za James bond a.k.a 007 napenda za kisayansi Kama gravity au life.
Hiyo marvel nikionaga tu hata tangazo lake naona lipicha linalokuja ni miroboti na michawichawi tu🤣
Mpira mi napenda kombe la dunia tu naona Kama mwakani mbali kinyama!, Bia hapana aisee.. tunafanana baadhi ya vitu ila ndugu yangu Kuna vitu umizidi..😂 but it's your personality nyie ndio akina baba kabwela ama akina wale bwana ndie mwokozi wangu!.Mkuu yaani mnavyoniona wa ajabu kwa kupenda muvi na animation namm nawaona wa ajabu mnavyopenda mpira +Beer, hua najiuliza inakuaje mtu anapata hamu ya bia kabisa na kusema bia tamu????
Nilikua nataka nianze kushabikia mpira ila nimeona huko maumivu nimakali zaidi watu wanajiua kabisa kisa timu zao na kwa jinsi nilivyo nikipenda kitu nazama kabisa yaani I love it with integrity. Napenda Sci-fi movies ndio maana nawapenda Marvels...Halafu kinachovutia zaidi ni mtirirko wa story zao aisee hawa watu wanaakili bwana Bongo muvi sidhani tutawafikia bila miaka 2000kupita .
Someone anayeniuzia movie nilimwambia naona muvi na series zinanimalizia pesa tu bora niache kufuatilia. Akasema bora wewe ukichukua muviz za 5000 unaangalia wiki nzima wakati yeye anasema akienda bar kima vha chini anatumia 20K kwa siku. Sasa umeona bora mm nayependa muvi kuliko wapenda pombe, bora nibaki hukuhuku wengine bila kuvuta bangi hawaoni maisha kama ni kitu😅
Yaani Mkuu kama watu humu wanashindw wanajisifia kununua malaya na kufanya umalaya na hawaoni noma sasa mimi nione noma kwa lipi kujisifu navyopenda muvi?????Mpira mi napenda kombe la dunia tu naona Kama mwakani mbali kinyama!, Bia hapana aisee.. tunafanana baadhi ya vitu ila ndugu yangu Kuna vitu umizidi..😂 but it's your personality nyie ndio akina baba kabwela ama akina wale bwana ndie mwokozi wangu!.
Aisee katika hizo muvi nilizokutajia hapo ni swala la muda tu utakuja kujua umechelewa sana ati niache kuangalia angel has fallen niangalie spider! Au niache London has fallen!. Ujumbe ukikuwa utaacha..😂
HahahahaAisee jamaa unapendaga muvi za aina yako tu tena mixer mikatuni..[emoji1787]
But anyway binafsi napenda za wizi like money heist,napenda zakipelelezi kama za James bond a.k.a 007 napenda za kisayansi Kama gravity au life.
Hiyo marvel nikionaga tu hata tangazo lake naona lipicha linalokuja ni miroboti na michawichawi tu[emoji1787]
We tukipige konyagi wewe..😂Yaani Mkuu kama watu humu wanashindw wanajisifia kununua malaya na kufanya umalaya na hawaoni noma sasa mimi nione noma kwa lipi kujisifu navyopenda muvi?????
Mm nikipenda kitu hua napenda kweli kweli ndio maana hadi huyo Charlie nimethubutu kumuandikia petition japo sipati faida yoyote.
Mkuu napokuambia napenda muvi sio tu hizi za Marvel hakuna muvi utakayotaja mm sijaitazama. Naamini nichache tu.. napenda muvi zote zisiwe tu za kusikitisha. Nishakua na sitaacha...
Infact hata mimi hizi sci-fi movies sizikubali kabisa .Mpira mi napenda kombe la dunia tu naona Kama mwakani mbali kinyama!, Bia hapana aisee.. tunafanana baadhi ya vitu ila ndugu yangu Kuna vitu umizidi..[emoji23] but it's your personality nyie ndio akina baba kabwela ama akina wale bwana ndie mwokozi wangu!.
Aisee katika hizo muvi nilizokutajia hapo ni swala la muda tu utakuja kujua umechelewa sana ati niache kuangalia angel has fallen niangalie spider! Au niache London has fallen!. Ujumbe ukikuwa utaacha..[emoji23]
Hahahaha
Nyie mnashangaa kwakua sio wasomaji wa Comics, mm nimpenzi na ninasoma sana Comics. Ukisoma comics lazima upende hizi muvi na kupenda kwangu comics kulianzia kwenye Majarida ya Sani,Amkeni, Mnara wa Mlinzi, Bongo na Femina/Fema Hip. Yaani hayo majaridi nilikua sikosi enzi hizo sijui yalipotelea wapiWe tukipige konyagi wewe..😂
Hichi kimapengo bado kitoto ati..😂Infact hata mimi hizi sci-fi movies sizikubali kabisa .
Mimi aina ya movies kama zako ndio nazikubali
Sawa mcomics na zitakukomicsNyie mnashangaa kwakua sio wasomaji wa Comics, mm nimpenzi na ninasoma sana Comics. Ukisoma comics lazima upende hizi muvi na kupenda kwangu comics kulianzia kwenye Majarida ya Sani,Amkeni, Mnara wa Mlinzi, Bongo na Femina/Fema Hip. Yaani hayo majaridi nilikua sikosi enzi hizo sijui yalipotelea wapi
Kwahiyo wewe 5k una magorofa na yeye 20k pee day hana hata pa kulala eh. Mimi napenda zile muvi za kivita za mapanga shaa like troy, lord of the ring, 300 sparta etcMkuu yaani mnavyoniona wa ajabu kwa kupenda muvi na animation namm nawaona wa ajabu mnavyopenda mpira +Beer, hua najiuliza inakuaje mtu anapata hamu ya bia kabisa na kusema bia tamu????
Nilikua nataka nianze kushabikia mpira ila nimeona huko maumivu nimakali zaidi watu wanajiua kabisa kisa timu zao na kwa jinsi nilivyo nikipenda kitu nazama kabisa yaani I love it with integrity. Napenda Sci-fi movies ndio maana nawapenda Marvels...Halafu kinachovutia zaidi ni mtirirko wa story zao aisee hawa watu wanaakili bwana Bongo muvi sidhani tutawafikia bila miaka 2000kupita .
Someone anayeniuzia movie nilimwambia naona muvi na series zinanimalizia pesa tu bora niache kufuatilia. Akasema bora wewe ukichukua muviz za 5000 unaangalia wiki nzima wakati yeye anasema akienda bar kima vha chini anatumia 20K kwa siku. Sasa umeona bora mm nayependa muvi kuliko wapenda pombe, bora nibaki hukuhuku wengine bila kuvuta bangi hawaoni maisha kama ni kitu[emoji28]
Netflix movies za spider man zipo ila huwa wanachelewa sana kuziwekaHapana mzee Kwa sasa ipo Cinema kwanza baada ya siku kadhaa itawekwa kwenye Chanel za starz kwa walio mambele huko ndio watatazama. Baada ya miezi miwili itakua Disney+ hapo ndio sisi wazee wa torrent tutaipata.
Haina budi kujilipua tu Cinema kama ni shabiki wa kweli
Netflix hawahusiki kwenye kusambaza muvi tena hii ya spiderman hata disney hahusiki ni Sony wenyewe wanaingia mzigono