Tulianza na figo sijui bandama, sasa tumefikia kuuza mbegu, kinachofuata ni ukijichoka unauza moyo!
Ila hela yako wakupe utumie kwanza ukimaliza wakabidhi chao.
God, grant me wisdom to know the difference, and accept things that i can not change. Hii ni sala yangu kila uchwao.