Patriot missile
JF-Expert Member
- Jun 16, 2024
- 286
- 424
Wewe uko Mtaa gani na mtaani kwako Kuna nini?Turudi mtaani nako kukoje,naomba tusiwe wakali kidogo.
๐คฃ Ya BavichaMisukule ya Chama.
Ndugu zake Sufian.๐คฃ Ya Bavicha
Pamoja sana mkuuNakupongรฉza mleta Uzi๐๐ฟ๐๐ฟ๐๐ฟ๐๐ฟ๐๐ฟ
Post inaongelea juu ya Ilani ya uchaguzi; hili lako lilikuwa sehemu gani ya Ilani?Umesahau na kumbatiza Simba jina la Tundu Lisu
Mambo ni mengi sanaPost inaongelea juu ya Ilani ya uchaguzi; hili lako lilikuwa sehemu gani ya Ilani?
Hivi nyumbu huwa mna akili za namna gani?
Asante sana CCM