inaweza kuwa imeingia kwenye LIMP MODE......inasababishwa na machenical failure nyingi sio control box tu....kwa kifupi baadhi ya gari[ninazojua ni bmw,audi,vw,volvo] zina system kwenye engine au gearbox ambayo ina-sense serious problem ikitaka kutokea kwahio gari inaingia kwenye LIMP HOME MODE i.e rpm inakuwa limited to not more than 2-3000 ili kukinga uharibifu zaidi,kwa maana hio speed huwa inalimitiwa isizidi 40MPH ambayo itakufikisha sehemu yenye msaada wa kiufundi....kwahio utaona gari imekosa nguvu sometime maandishi LIMP MODE