mhhh mhhhh fishy
Mwenyewe ni mwanafunzi anafanya hii katika free time yake huko aliko, hivyo anapenda kudeal na referals. Kuepuka watu wasio waaminifu. Huwezi jua nini kilishampata.Huko PM watalizwa wengi sana, hivi unajijua una nia njema kusaidia umma kwanini usiwe wazi hapo, jameni wekeni bayana mambo yenu.
... hakuna utapeli ndugu... wafanya biashara wengi wanaweka faida kubwa huyu ukitaka kitu huko aliko anaangalia na kama mpaka kukufikia ni afordable anasaidia kuhakikisha kimenunuliwa na kimesafirishwa yeye anachukua service charge kidogo tu..Acha kujifunza utapeli!
Hizo spare za nje ya nchi ziingie kwa siku nne!! unaagiza Kenya au wapi? hakuna spare genuine ya bei poa, unaweza kununua nje kwa bei poa lakini ikifika customs lazima ulipe kodi inayotakiwa ambayo haipungui asilimia 28 kama unaagiza Japan (japan ni rahisi zaidi kuliko Ulaya au Dubai).
Nawashauri kama unaagiza spare nje kwa gari za kijapani kampuni ya Amayama ina bei nzuri kuliko wengine kama Megazip, Amazon nk Mfano ukiagiza shockup aina ya Mitsubishi MB 672230 Megazip ni US$ 516 kwa 1pc wakati Amayama ni $316 kwa 1pc..Malipo unatumia Paypal na unapata mzigo within 2 weeks.
Acheni utapeli wa mitandaoni
mzee my numbert 0765414414 tuwasiliane calk me nahitaji engineMwenyewe ni mwanafunzi anafanya hii katika free time yake huko aliko, hivyo anapenda kudeal na referals. Kuepuka watu wasio waaminifu. Huwezi jua nini kilishampata.
Na mi nimeona ni vizuri maana anayekuelekeza kwake atahakikisha unapata good experience.
So usiogope. PM ME.