wakuu,
Msaada tafadhali, nimepoteza cable kwa ajili ya digital camera yangu aina ya sony na siwezi kucharge battery (internal) tena. Nimejaribu kugoogle jina la cable yenyewe nimegundua inaitwa Sony VMC-MD3 (Type 3) USB Camera Cable (Ni tofauti na usb cable nyingine kama mini-usb na micro-usb). Tafadhali anayejua duka linalouza anishtue.