Kuna 250k kwa spidi sana ila nko kanda ya ziwa kuelekea mto Mara ndani ya wilaya maarufu sana katika mji mdogo mpakani mwa nchi ya wakabila.......naipataje????
ni model gani hio sony? tupia na model ya hio tv tuione km ni smart tv....kwa macho tu inaonekana ni LCD sio smart...unaweza kutusibitishia km hii tv ni Smart??