Ina hali nzuri sana.
Imetumika wiki 1 ipo na charger yake.
Inasoma 2G(E) tu.
Bei ni 330k maelewano yapo
Tuwasiliane 0657233029
Ahsanteni View attachment 259598View attachment 259599
Sikuifanyia makeke mkuu haikupaswa kutumika nchini Tanzania. Nimeweka wazi tatizo hili ili mtu atakayehitaji ajue simu ipoje kuliko kumushikisha mtu bila kujua.