Na wewe kumbe hupo huku kwa hawa wakenya? Nimeamua kupita huku kwa Mara ya kwanza. SI wewe kodi zetu zilikupeleka havard usome halaf unatukana uwanja wetu WA ndege Ni kama kibanda pale dar. SI Ni wewe unaidharau zenji eti uchumi wake Ni mdogo kwa airtel kupiga promo. Nyinyi Ni mamluki na nyendo zenu tunazifuatilia sana kwa karibu.
UWT